UKIACHA TENDO LA NDOA MAMBO MENGINE YANAYOSAIDIA NDOA IDUMU NI PAMOJA NA HAYA
1. Kusali pamoja
2. Kushirikishana kwenye miradi ya maendeleo, uchumi na biashara kwa ujumla
3. Kusamehe na kusahau
4. Kuheshimiana
5. Kutokumchukulia poa mwenzako
6. Kusema AHSANTE
7. Kujitoa mhanga kwa ajili ya mwenzako. Kuwa tayari hata kufa kwa ajili ya mwenzako
8. Kufahamu kuwa maisha ni mafupi na kuwa muda ni mali
9. Wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wawe nafasi ya 3 kwako na nafasi ya pili awe ni mmeo au mkeo
10. Daima mke *amtii mme* na kumfanya ndiye *shujaa wake* na mme *ampende mkewe* kama Kristo *alivyolipenda kanisa.*
Ongeza na wewe mengine unayofahamu
0 Comments